Misc Unsigned Bands - Belle 9 - sumu ya penzi
chordsver. 1
Autoscroll
1 Column
Text size
Transpose 0
Standard Tuning
Belle 9 - Sumu ya Penzi (Chords)
by J-Ryder790
Intro
Cm, Fm, D#, A# (also throughout the song)
Ohhh Ohhh, yeahh ehhh
yeahh
Verse 1
Cm Penzi ni Fmkitu ambacho D#kinaweza kukupa fA#uraha maishani mwako
Cm Vilevile Fmpenzi linaweza D#kukupa huzuni mA#ilele moyoni mwako
Cm Ukashindwa Fmkuelewani na D#ndugu, rafiki hA#ata na wazazi wako
Cm Utakosa Fmraha ya maisha, D#hata kama una A#pesa
Cm Vitalala Fmviungo vyako, D#kimawazo uA#takesha
Cm Utakosa Fmraha ya maisha, D#hata kama una A#pesa
Cm Vitalala Fmviungo vyako, D#kimawazo uA#takesha
Chorus
Cm Sumu ya penzi Fmukishailamba
D# Hata kwa maziwa A#huwezi kupona
Cm Sumu ya penzi Fmukishailamba
D# Hata kwa maziwa A#huwezi kupona
Cm Sio kwamba Fmmi nakukataa
D# Ila moyo A#wangu unasita (moyo unasita)
Cm Wazazi wangu Fmwatanishangaa
D# Nyumbani wewe A#ulishatoroka (ulishatoroka)
Cm Sio kwamba Fmmi nakukataa
D# Ila moyo A#wangu unasita
Cm Wazazi wangu Fmwatanishangaa
D# Nyumbani wewe A#ulishatoroka
Verse 2
Cm Ulinimwaga Fmkama mchele, D#kuku wanidonoA#e (mimi)
Cm Ukanifunga Fmmpaka kitanzi, D#nani aniokoA#e (porini)
Cm Ulinimwaga Fmkama mchele, D#kuku wanidonoA#e (mimi)
Cm Ukanifunga Fmmpaka kitanzi, D#nani aniokoA#e (porini)
Cm Laiti ningejua kuna Fmdawa ya mapenzi
D# Ningejifunga nA#isipende
Cm Maana mapenzi kwangu Fmyamekuwa shubiri
D# Kwa wenzagu mitA#ende
Cm Laiti ningejua kuna Fmdawa ya mapenzi
D# Ningejifunga nA#isipende
Cm Maana mapenzi kwangu Fmyamekuwa shubiri
D# Kwa wenzagu miteA#nde (yeahh)
Chorus
Bridge
Cm Mi sihitaji mFmapenzi na wee
D# Mi sitaki mA#apenzi na wee
Cm Ohh baby naFmomba unielewe
D# Mi sitaki mA#apenzi (sihitaji) na wee
Cm Nachoweza kFmusema, sD#ihitaji mA#apenzi na wee
Cm Nachoweza kFmusema, sD#ihitaji mA#apenzi na wee
Cm Nachoweza kFmusema, sD#ihitaji mA#apenzi na wee
Cm MapeFmnzi na wD#ee (ihhA#h ihhh)
Cm Sio kwamba Fmmi nakukataa (mi nakukataa)
D# Ila moyo A#wangu unasita (moyo unasita)
Cm Wazazi wangu Fmwatanishanga (watanishanga)
D# Nyumbani wewe A#ulishatoroka (ulishatoroka)
Cm Sio kwamba Fmmi nakukataa (ohh ohh)
D# Ila moyo A#wangu unasita (ohh ohh)
Cm Wazazi wangu Fmwatanishangaa (ohh ohh)
D# Nyumbani wewe A#ulishatoroka (ohh ohh)
Outro
Cm Sio kwamba Fmmi nakukatD#aa aA#ahh (mimi)
Cm Wazazi wangu FmwatanishanD#ga aA#ahh (mimi)
Cm Sio kwamba Fmmi nakukataD#a ahA#hh (ihhh ihh)
Cm Wazazi wangu FmwatanishanD#ga aA#hhh (yeahh)
C#, Fm
D# Belle 9,A# rocka Tz records
C#, Fm
D# Niko nA#a Triss